Monday, July 13, 2020

Kifaru football club yashindwa kushiriki ligi ya Mgangaluma Cup july 2020


Timu ya kifaru fc imeshindwa kushiriki ligi ya mgangaluma cup mwezi july 2020, hii ni baada ya waendeshaji wa ligi hiyo kuweka viwango vikubwa vya ushiriki wa ligi hiyo. Meneja wa timu hiyo mr Chaula Zico alipotafutwa na mwandishi wa timu hiyo na kuulizwa juu ya kutoshiriki ligi hiyo alidai kumekuwa na udhamini hafifu wa ligi katika kata ya mlowo huku wanaoanzisha ligi mbalimbali wamekuwa wapata faida mara mbili tofauti na kanuni za udhamini.

No comments:

Post a Comment