Tarehe 19 November 2019, haikua siku nzuri kwa timu ya kifaru fc,baada ya kulazwa mabao 2:1 dhidi ya Ilonga Fc zote za mji wa mlowo mkoani songwe,
Pamoja na kipigo hicho msemaji wa kifaru fc Godfrey Kyando, alisema kua pamoja na matokeo hayo, klabu hiyo inaendelea na mazoezi kwa ajili ya kucheza na klabu kubwa ikiwemo mbeya city ,kwa sasa wanaelekeza nguvu zao katika ligi zitazoanza mkoani Songwe
Kikosi cha kifaru fc
Kocha wa kifaru fc Isaya Bukuku
No comments:
Post a Comment