Monday, July 13, 2020

Kifaru fc yaendelea na mazoezi ya kujiweka sawa kwa ajili ya mashindano yajayo ya mlowo super cup

kocha wa kifaru sports club baada ya kumaliza kuwapa mbinu mbalimbali wachezaji wa timu hiyo.

MENEJA WA KIFARU FC KATIKA UBORA WAKE

Meneja wa timu ya kifaru fc akiwa katika pozi lake kabla ya kupewa mwaliko wa kikao cha ufunguzi wa ligi ya Mgangaluma Cup.

Kifaru football club yashindwa kushiriki ligi ya Mgangaluma Cup july 2020


Timu ya kifaru fc imeshindwa kushiriki ligi ya mgangaluma cup mwezi july 2020, hii ni baada ya waendeshaji wa ligi hiyo kuweka viwango vikubwa vya ushiriki wa ligi hiyo. Meneja wa timu hiyo mr Chaula Zico alipotafutwa na mwandishi wa timu hiyo na kuulizwa juu ya kutoshiriki ligi hiyo alidai kumekuwa na udhamini hafifu wa ligi katika kata ya mlowo huku wanaoanzisha ligi mbalimbali wamekuwa wapata faida mara mbili tofauti na kanuni za udhamini.

Thursday, November 21, 2019

LAGOM SPORTS WEAR LEAGUE, KIFARU FC YATOLEWA

Tarehe 19 November 2019, haikua siku nzuri kwa timu ya kifaru fc,baada ya kulazwa mabao 2:1 dhidi ya Ilonga Fc zote za mji wa mlowo mkoani songwe,

Pamoja na kipigo hicho msemaji wa kifaru fc  Godfrey Kyando, alisema kua pamoja na matokeo hayo, klabu hiyo inaendelea na mazoezi kwa ajili ya kucheza na klabu kubwa ikiwemo mbeya city ,kwa sasa wanaelekeza nguvu zao katika ligi zitazoanza mkoani Songwe
Kikosi cha kifaru fc

Kocha wa kifaru fc Isaya Bukuku

Saturday, November 2, 2019

Kikosi cha kifaru fc dhidi ya Veteran mlowo

1.Paul kindoki
2.Amosi simkoko
3.Samweli mwakapalila
4.Ansemo silwimba
5.Ivan Etek
6.Petrol Haonga
7.Kelvin Sanga
8.Patrick Mwamengo
9.Samson Peter
10.Elia panja
11.Nelson mtambo



Wanaosubiri
Charles mwamahonje
Jacob itunga
George msokwa
Wilson Emmanuel
Alfa mgale
Hamadi bagwa

Viongozi
Zico chaula ,meneja
Isaya bukuku ,kocha
Godfrey kyando, msemaji
Jeremiah Lukali,m/kiti
Alfa mgale,dokta
Imani mwasomola, mwandishi


Kifaru iliibuka na  ushindi wa 4:2

Thursday, October 24, 2019

Ligi ya Wilaya ya Mbozi

Tarehe 15/10/2019 Tulicheza na Maji FC ushindi ulikua 1-1
Tarehe 23/10/2019 Tulicheza na Vijana FC KIFARU iliibuka na Ushindi wa magoli 2-0