Monday, July 13, 2020
MENEJA WA KIFARU FC KATIKA UBORA WAKE
Meneja wa timu ya kifaru fc akiwa katika pozi lake kabla ya kupewa mwaliko wa kikao cha ufunguzi wa ligi ya Mgangaluma Cup.
Kifaru football club yashindwa kushiriki ligi ya Mgangaluma Cup july 2020
Timu ya kifaru fc imeshindwa kushiriki ligi ya mgangaluma cup mwezi july 2020, hii ni baada ya waendeshaji wa ligi hiyo kuweka viwango vikubwa vya ushiriki wa ligi hiyo. Meneja wa timu hiyo mr Chaula Zico alipotafutwa na mwandishi wa timu hiyo na kuulizwa juu ya kutoshiriki ligi hiyo alidai kumekuwa na udhamini hafifu wa ligi katika kata ya mlowo huku wanaoanzisha ligi mbalimbali wamekuwa wapata faida mara mbili tofauti na kanuni za udhamini.
Subscribe to:
Posts (Atom)